Posts

JINSI YA KUTENGENEZA MISHUMAA BORA IMARA

Image
Ni rahisi sana kutengeneza mshumaa! Mshumaa unatengenezwa katika maumbo mbali mbali kama wewe tu unavyopenda, pia na rangi... Mishumaa inaweza kuwa ya: 1.kuweka chooni kupunguza harufu na kuleta mandhari nzuri (Hapa kuna kemikali inayochanganywa kwa ajili ya kupunguza harufu, kuna perfume yake maalum) 2. Kuweka chumbani kwako kwa ajili ya matumizi yako na mwandani wako kama unae. Hapa napo kuna mchanganyiko wake unaotakiwa. 3. Mishumaa mingine ipo kwa ajili ya mapambo katika maeneo maalum kama KANISANI, SEBULENI na mishumaa vile vile inaweza tumika msibani.. matumizi yanatofautiana tu kulingana na mahitaji.... Kama nilivyozungumzia suala la rangi ya mshumaa, umbo na eneo unalotakia kutumia, hivi vitu ni muhimu sana kutambua ili ujue mshumaa wako uutengeneze katika umbo la aina gani. Kuna mishumaa ambayo ni kwa ajili ya luxury tu ndo maana tunaona inakuja na maumbo ya kupendeza na kuvutia sana! Hiyo ni gharama kubwa kui design na kuifikisha sokoni kwa mlaji... Mishumaa ambayo inaenda kw...

AUDIO | Dogo Chande - MAMA

Image
AUDIO    AUDIO | Dogo Chande - MAMA                            DOWNLOAD | PLAY                                            AUDIO  《 Dogo Chande - MAMA 》                           DOWNLOAD #n geamazing #ngeamazingRecords #dogochande #mama ||| for more -  Subscribe YouTube channel πŸ” Dogo Chande  for good Music

(UFUNUO) MOYO WA JIWE

Image
 UFUNUO:  MOYO WA JIWE*  facebook :- (Ng'e Amazing Gospel) *EZEKIELI 36:26*   _“Nami nitawapa ninyi moyo mpya, nami nitatia roho mpya ndani yenu, nami nitatoa moyo wa jiwe uliomo ndani ya mwili wenu, nami nitawapa moyo wa nyama.”_ Swali je kwa mkristu katika Yesu tuna moyo wa jiwe au moyo wa nyama, Jibu swali hili kwanza kwa hoja ya maandiko kisha weka notes zako pembeni sasa tuamze  *MOYO ΧœΧ‘ Lamed na Bet*   - *ל Lamed* fimbo ya mwalimu, kuinua, kunyanyua.     Inaonyesha moyo ni kitu kinachoinuliwa kutoka chini, kinachoongozwa juu kuelekea mlango wa uzima.   - *Χ‘ Bet* nyumba, mwili, makao.     Moyo ni kitu kilicho ndani ya nyumba ya mwili, kikiwa bustani ya ndani.   Hivyo moyo unanyuliwa kupitia mlango, kuongozwa katika mamlaka ya uzima. *HISIA NA KUANGUKA*   Hisia = kitu kinachonyanyuka kutoka moyoni.   Zinaweza kupingana na mkono wa haki na kuinua moyo katika tamaa. ...

JINSI YA KUPIKA SAMBUSA TAMU ZA VIAZI

Image
 Jinsi Ya Kupika Sambusa za Viazi Sambusa za viazi ni kitafunwa kitamu, nafuu, na rahisi kupika. Zinaweza kuliwa wakati wa kifungua kinywa, futari, au kama vitafunwa vya chai. Ladha yake ni tamu na yenye viungo vya asili vinavyoleta harufu nzuri. Katika makala hii nitakuelekeza jinsi ya kupika sambusa za viazi hatua kwa hatua. Viungo: Kwa Kujaza Sambusa (Filling) ● Viazi – 4 vikubwa (vilivyochemshwa na kusagwa) ● Kitunguu maji – 1 kikubwa (kimekatwa vidogo) ● Kitunguu saumu na tangawizi – Vijiko 2 vya chakula (vimesagwa) ● Pilipili manga – Nusu kijiko cha chai ● Chumvi – Kijiko 1 cha chai ● Pilipili hoho – 1 (imekatwa vidogo) ● Mchanganiko wa bizari (curry powder) – Kijiko 1 cha chai ● Giligilani (coriander) – Kiasi kidogo (chopped) ● Mafuta ya kupikia – Vijiko 2 vya chakula Kwa Ganda la Sambusa (Samosa Wrappers): ● Unga wa ngano – 2 vikombe ● Chumvi – Nusu kijiko cha chai ● Maji – Kiasi kinachotosha ● Mafuta – Vijiko 2 vya chakula Hatua za Kupika Sambusa za Viazi 1. Kutayarisha Mc...

AfyaYako | FAIDA NA MAAJABU YA KAROTI KATIKA AFYA MWILINI

Image
  Bonyeza hapa kutazama Video ili ujue na Ufahamu zaidi Faida nyingi za Karoti                     LINK YA VIDEOπŸ‘‡πŸ‘‡ πŸ”΅ 《  VIDEO: FAIDA NA MAAJABU YA KAROTI MWILINI  》 FAIDA YA KULA KAROTI KWA AFYA YA MWILI WAKO Asilimia kubwa tunapenda kutumia karoti katika kuunga katika mboga ya nyama na si kuila karoti kama karoti. wataalamu wanashauri ili uwe na afya bora unatakiwa ule karoti sita kwa wiki au moja kwa siku. Unaweza kula karoti ya kuchemshaa,juisi au mbichi Faida ya kula karoti ni kama zifuatazo i. Karoti husaidia kuimarisha macho kuona vizuri, mfano tatizo la kutoona vizuri usiku, pia inasaidia kuondoa matatizo ya allergy kwenye macho mfano macho kuwasha sababu ya vumbi. Karoti inarutubisha cells mwilini na kuzifanya zisizeeke haraka. Hii inatokana na uwepo wa Vitamin A ambayo ni muhimu katika kuimarisha uwezo wa macho kuona. ii. Huifanya ngozi iwe nzui na yenye afya, kama utatumia kurutubisha ngozi yako, ikwangue kwa...

Dogo Chande - KESHO YANGU (DOWNLOAD/AUDIO)

Image
Tap the link to Download  ,, KESHO YANGU by Dogo Chande πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡                                       DOWNLOAD          《  Dogo Chande - KESHO YANGU  》 ☆Ng'e Amazing Records